Chama cha ACT Wazalendo kimesema Serikali inapaswa kuanzisha mifumo rahisi ya mikopo kwa wananchi ili kuwarahisishia kuepuka mikopo isiyo rasmi maarufu kama mikopo umiza au kausha ...
Maduka mawili ya bidhaa za vyombo na mikate yameteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo Jumatano Januari 8, 2025, wilayani Handeni, mkoani Tanga, huku wafanyabiashara wakilalamikia Jeshi ...
Serikali imesema ipo mbioni kufanya maboresho makubwa ya reli ya Kanda ya Kaskazini kwa lengo la kupunguza msongamano wa malori ya mizigo yanayopita katika Jiji la Arusha kutokea Bandari ya Tanga.
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewahukumu Watanzania 55 kulipa faini ya Sh40,000 au kwenda jela miezi sita kila mmoja, baada ya kupatikana na hatia ya kuondoka ndani ya Tanzania na ...