MANCHESTER, ENGLAND: STAA wa Arsenal, Bukayo Saka imeelezwa kwamba huenda akawa nje ya uwanja hadi Machi mwakani baada ya kusumbuliwa na maumivu ya misuli aliyopata kwenye mechi ya Ligi Kuu England ...
LONDON, ENGLAND: STAA wa Arsenal, Bukayo Saka alionekana akitembea kwa kutumia magongo wakati anatoka uwanjani baada ya mchezo wao dhidi ya Crystal Palace uliomalizika kwa washika mitutu hao kushinda ...
London, England. Ishu ya Bukayo Saka kuwa nje ya uwanja kwa takribani wiki tatu inafahamika, ishu mpya inayozungumzwa kwa sasa ndani ya Arsenal nani atakuwa mbadala wake huku kocha wa timu hiyo, Mikel ...
Michezo mingine iliyochezwa usiku wa jana ilishuhudiwa Arsenal ikipata ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Monaco ambapo mabao ya Arsenal yalifungwa na Bukayo Saka aliyefunga mawili dakika ya 34 na dakika ...