MECHI mbili ambazo Simba imecheza dhidi ya vibonde wa Kundi A katika Kombe la Shirikisho Afrika, CS Sfaxien, zimempa faida ...
WAKATI michuano ya Kombe la Mapinduzi mwaka huu 2025 ikishirikisha timu za taifa kwa mara ya kwanza, kikosi cha Kilimanjaro ...
MMESIKIA huko? Kocha mpya wa Singida Black Stars, Hamdi Miloud mwenye uraia pacha wa Algeria na Ufaransa, ambaye amerithi ...
SALUM Kihimbwa sio jina geni masikioni mwa wapenzi wa soka kutokana na kipaji alicho nacho akilitumikia vyema eneo la winga, ...
Baada ya kuanza kibarua chake, Kocha Mkuu wa Tanzania Prisons, Aman Josiah, amesema licha ya ugeni alionao kwenye Ligi Kuu ...
KLABU ya Kagera Sugar, imefikia makubaliano ya awali na kiungo wa Tusker FC, Saphan Siwa Oyugi, kwa ajili ya kumsajili kama ...
IMEZOELEKA kwenye tasnia ya burudani hasa Tanzania msanii mmoja kushirikiana na mtu mwenye upinzani naye ni ngumu kufanya ...
KOCHA Mkuu wa Alliance Girls, Sultan Juma amesema kwa sasa Simba Queens na JKT Queens hazina upinzani kwenye mbio za ubingwa ...
KITENDO cha kufungwa bao 1-0 dhidi ya Burkina Faso, kimeonekana kumkera Kocha wa Zanzibar Heroes, Ali Bakar Ngazija.
ILE Ligi ya Kikapu Daraja la Kwanza Mkoa wa Dar es Salaam imeendelea kushika kasi katika Uwanja wa Bandari, Kurasini, ambapo ...
MIAMBA ya soka ya Italia, AC Milan inatarajia kukoleza mwendo kwenye mpango wa kunasa saini ya mshambuliaji Marcus Rashford ...
REAL Madrid imeripotiwa kwamba imepiga chini mpango wa kumsajili beki wa Liverpool, Virgil van Dijk baada ya wakala wa Mdachi ...