Viongozi hao wanatarajiwa kusaini makubaliano yatakayowapa Marekani sehemu ya rasilimali adimu za madini za Ukraine.
Mkutano wa pamoja wa wanahabari waahirishwa baada ya Trump kumwambia Zelensky "amemkosea heshima" na kusema "tufanye makubaliano au tuondoke".